Naibu Kamishna wa TRA Bw,Rished Bade akizungumza wakati alipokuwa anazindua kifaa cha kulipia Kodi Kielectroniki kijulikanacho kama EFD ...
2:26 PM
Hawa ni Baadhi ya wadau kutoka TRA pamoja na wafanyabihashara waliohudhuria katika Uzinduzi huo wakifuatilia kwa umakini hotuba ya Naibu Kamishna wa TRA Bw,Rished Bade.