Sunday, May 12, 2013

STEVE R&B AKIJIPA SHAVU SEHEMU MBALIMBALI UGHAIBUNI

Steve RnB ni mmoja wa wasanii ambae ametembea sana Europe mwaka huu. Mpaka sasa hivi ametembelea nchi sita :Germany ,Austria ,Belgium ,... thumbnail 1 summary

Steve RnB ni mmoja wa wasanii ambae ametembea sana Europe mwaka huu. Mpaka sasa hivi ametembelea nchi sita :Germany ,Austria ,Belgium ,Holland, United Kingdom,na Turkey.