Tuesday, April 30, 2013
WAKIWA BUNGENI KAMA MAADUI KUMBE HAMNA LOLOTE !!!!!!!!!!!!!!!!!!

KAMA hujui ndiyo ujue sasa, kwamba waheshimiwa wetu wanapokuwa ndani ya mjengo na kutoleana maneno machafu na yenye vitisho unaweza ku...
KAMA hujui ndiyo ujue sasa, kwamba waheshimiwa wetu wanapokuwa ndani ya mjengo na kutoleana maneno machafu na yenye vitisho unaweza kusema nje watanuniana au hata kupigana singi, lakini waapi! Gelesha tu.
Baadhi ya wananchi wanaohudhuria vikao vya bunge mjini hapa wanasema wabunge hao, hasa wa Chadema na CCM wanapokuwa ndani ya mjengo ni maadui wakubwa, wakahoji:
Lakini mbona wakitoka nje wanachekeana sana, tena marafiki au…

KAMA hujui ndiyo ujue sasa, kwamba waheshimiwa wetu wanapokuwa ndani ya mjengo na kutoleana maneno machafu na yenye vitisho unaweza kusema nje watanuniana au hata kupigana singi, lakini waapi! Gelesha tu.
Baadhi ya wananchi wanaohudhuria vikao vya bunge mjini hapa wanasema wabunge hao, hasa wa Chadema na CCM wanapokuwa ndani ya mjengo ni maadui wakubwa, wakahoji:
Lakini mbona wakitoka nje wanachekeana sana, tena marafiki au wanatuzuga wapiga kura wao tuwaone wako siriasi?”
Mmoja akaendelea: ”Mimi naamini kwamba wanapokuwa nje ya bunge ni marafiki na wanapokuwa mjengoni wanachofanya ni kulinda itikadi zao za kisiasa tu, hakuna lingine.”
Akaendelea kuwa, wananchi wengi huamini kwamba waheshimiwa ni maadui wa moja kwa moja, hasa wanapowaangalia kwenye tivii wakibishana mbele ya spika wao, Anne Makinda lakini ukweli si maadui.
Uwazi lilinasa baadhi ya picha zinazowaonesha waheshimiwa ‘maadui’ ndani ya bunge wakichekeana kwa ‘meno 32’ nje.
Picha hizo ni za Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika.
Hata hivyo, Lukuvi amewahi kusema: “Ndani ya bunge wabunge wote wanafanya kazi kwa masilahi ya wananchi na taifa kwa ujumla, hakuna uadui.”
Aidha, kuna picha ya Mbunge wa Singida Kaskazini, Tundu Lissu na Spika Makinda wakicheza muziki, Lukuvi na Lissu wakibadilishana mawazo, Mnyika, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe pia wakibadilishana mawazo.
Picha yenye kutia fora ni Mbunge wa Bunda ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano), Steven Wassira ‘Tyson’ na Mbunge wa Arusha Mjini kwa ‘leseni’ ya Chadema, Godbless Lema.
Sunday, April 28, 2013
UWOYA KUVUNA MILIONI 200
UWOYA KUVUNA MILIONI 200
KUSOMA HABARI ZOTE BOFYA HAPA Stori: Mwandishi Wetu DIVA anayetesa katika sinema za Bongo, Irene Pancras Uwoya ananukia ...

Stori: Mwandishi Wetu
DIVA anayetesa katika sinema za Bongo, Irene Pancras Uwoya ananukia utajiri ambapo hivi karibuni ‘anatarajia’ kuogelea kwenye
mamilioni ya fedha kwa kukomba Shilingi Milioni 200 za madafu, Risasi Mchanganyiko lina kila kitu…
Stori: Mwandishi Wetu
DIVA anayetesa katika sinema za Bongo, Irene Pancras Uwoya ananukia utajiri ambapo hivi karibuni ‘anatarajia’ kuogelea kwenye
mamilioni ya fedha kwa kukomba Shilingi Milioni 200 za madafu, Risasi Mchanganyiko lina kila kitu mkobani.
Uwoya ni mke halali wa msakata kabumbu wa kulipwa nchini Rwanda, Hamad Ndikumana ‘Kataut’ ambapo ndoa yao ilifungwa

mwaka 2009 katika Kanisa Katoloki, Parokia ya Mt. Joseph, Posta jijini Dar es Salaam.
KUTOKA DAR ES SALAAM
Msanii huyo ambaye hakaukwi na skendo, huenda akaibuka milionea ikithibitika kwamba habari iliyoandikwa na gazeti damu moja
na hili, Ijumaa Wikienda la Jumatatu Aprili 8 – 14, toleo namba 310 iliyokuwa na kichwa; UWOYA, DIAMOND WANASWA
HOTELINI ni ya uongo.
Habari kutoka katika vyanzo vyetu vya kuaminika, zinasema kuwa mdada huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwaye Krish
Hamad Ndikumana yu mbioni kuandika barua ya madai kupitia kwa mawakili wake waliopo Dar ili kudai fedha hizo kwa maelezo
(eti) alichafuliwa na kuingiliwa faragha yake.
KIVIPI SASA?
Moja ya vyanzo hivyo ambacho ni shosti wa karibu na Uwoya alilieleza gazeti hili kuwa baada ya habari ile kutoka gazetini,
mawakili hao walimfuata na kumwambia kuwa pamoja na machungu aliyoyapata, habari ile kwake ni dili na inaweza kubadili
maisha yake (mh!).
“Amefuatwa na mawakili zaidi ya wanne kwa nyakati tofauti lakini kuna mmoja anaonekana kumuamini zaidi ndiye anayedili naye
kwa sasa. Huyo wakili amemhakikishia kuchukua hizo fedha kwa kuwa zipo njenje,” alisema shosti huyo na kuongeza:
“Kikubwa alichomwambia huyo wakili ni kwamba ile habari imemdhalilisha na imeingilia uhuru wa faragha yake kinyume na sheria
ya nchi yetu.”
Akaongeza: “Amemhakikishia kutumia ufundi wake wote kuandika barua yenye vitisho vitakavyosaidia kulifanya gazeti hilo litoe
hizo fedha kabla ya suala hilo kufikishwa mahakamani kupambana kwenye sheria.” (tuko ngangari).
NI FARAGHA IPI HIYO?
Chanzo hicho kimeendelea kufafanua kuwa wakili wa Uwoya amemweleza kwamba barua yake hiyo ya madai itaandikwa kwa
kuzingatia mwongozo wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo kwa maelezo yake imevunjwa.
Habari za moto zinapasha kuwa, barua hiyo itazingatia kuvunjwa kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 16
kifungu kidogo cha 1 ambacho kimekataza watu kuingiliwa katika faragha zao.
“Kiukweli ana imani naye sana na amemhakikishia kuzoa hizo fedha kwa sababu ana ufahamu mkubwa na sheria na namna ya
kupanga maneno katika barua hiyo,” alisema.
KUKUNUA GARI, KUJENGA NYUMBA YA KIFAHARI
Pekupeku za Risasi Mchanganyiko zinaeleza kwamba kwa sasa Uwoya ana uhakika wa kubadilisha maisha yake mara baada ya
utaratibu wa barua hiyo kukamilika na kufika kwa uongozi wa Global Publishers.
Imeelezwa kwamba, kitu cha kwanza ambacho Uwoya amepanga kufanya ni kununua gari la kifahari na kuachana na analotumia
sasa ambalo si lake huku mpango wa pili ukiwa ni kujenga nyumba bora ya kisasa. (Uwoya bwana!)
“Anataka kuanza kuishi maisha ya kistaa zaidi, anasema eti gari analotumia sasa hivi halifanani na hadhi yake. Kitu kingine
anachofikiria ni kujenga nyumba ya kifahari Mbezi Beach (kwenye upepo mwanana). Anasema kule ni pazuri zaidi kwa sababu ni
nyumbani kwao.
“Hivi ninavyozungumza na wewe tayari ameshaonana na wataalam wa ramani ili waweze kumshauri mjengo mzuri wa kisasa
ambao ataujenga baada ya kuchukua hizo fedha,” alisema.
MHARIRI KIZIMBANI
Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda lililotoa habari hiyo ya Uwoya na Diamond kunaswa (jina kapuni) alipatikana juzi Jumatatu
jijini Dar es Salaam na kusomewa mashitaka yake ambapo alitoa ushirikiano wa kutosha.
Akizungumza kwa kujiamini, mhariri huyo alisema: “Bado sijapokea barua ya namna hiyo lakini ikija itanishangaza sana. Kufupi
nipo tayari kupambana na hiyo kesi kwa sababu waandishi wangu walifanya kazi nzuri na upo ushahidi wa kutosha mezani kwangu,
waje tu. Teeh! Teeeh! Teeeeeh!”
Kuhusu gazeti lake kuingilia faragha ya Uwoya kama madai yanavyoeleza, mhariri: “Ni faragha ipi hiyo iliyoingiliwa kwa Uwoya na
Diamond? Ukisoma ile habari mstari kwa mstari na kutazama zile picha, utaona kwamba kilichoripotiwa ni wao kunaswa hotelini
wakiingia usiku na kutoka siku inayofuata.
“Hakuna picha wala aya yoyote katika ile habari iliyoonesha kwamba, waandishi wangu walimfuata Uwoya na Diamond chumbani
walipokuwa kwenye faragha yao. Labda walipokuwa mapokezi na kupita kwenye korido ndiyo faragha yao! Ha! Haa! Haaa!
“Tuliripoti kunaswa hotelini tu hasa kwa kuwa tunajua kuwa Uwoya ni mke wa mtu na Diamond ana mchumba. Ni hivyo tu.
Hakuna cha kujadili sana hapa ndugu mwandishi teh!”
HEBU PATA PICHA KIDOGO
Katika habari inayodaiwa kulalamikiwa na Uwoya hadi kufikia kukubaliana na wakili wake kupeleka barua ya madai, ilieleza hatua
kwa hatua ya namna mastaa hao walivyoingia katika hoteli moja ya kifahari yenye hadhi ya nyota tano (jina lipo), Mbezi Beach
jijini Dar es Salaam na kuishia katika chumba namba 208.
Upo ushahidi wa picha za mnato na video zikimwonesha Diamond ambaye muda mfupi baada ya kuingia katika chumba hicho
alitoka mapokezi kulipa na kuandikisha akiwa amevaa viatu vya Uwoya (video ipo jamani).
Baada ya kuingia katika chumba namba 208 alichokuwa Uwoya mishale ya saa 8:24 usiku, wote wawili hawakutoka hadi kesho
yake, saa 9:00 mchana.
Awali, wakati wanaingia katika hoteli hiyo ambayo tayari ilikuwa chini ya ulinzi wa mapaparazi wa Global, Diamond alikuwa na gari
la Uwoya aina ya Toyota Fortuner na Uwoya alikuwa na la Diamond, Toyota Land Cruiser Prado (picha kibao zipo zikionesha
hivyo).
Baada ya mkesha wao, wakati wa kuondoka kila mmoja aliondoka kivyake kwa kutumia gari lake.
KICHEKESHO CHA UWOYA
Mara baada ya habari hiyo inayodaiwa kupangiwa kuzolea mamilioni ya shilingi kutoka kwenye Gazeti la Ijumaa Wikienda, Uwoya
alipiga simu kwa waandishi mbalimbali wa Global na kulalamika kwamba habari ile inaweza kuharibu ndoa yake.
Uwoya, huku akijua muda mrefu kwamba kuna tetesi za yeye kutoka na Diamond, alimpigia simu mmoja wa waandishi wetu na
kusema: “Yametimia. Sijui kama kuna ndoa tena. Kila kitu kimeharibika sasa, lakini kwa nini hamkunipa nafasi ya kuzungumza
kwanza?”
Hata hivyo, alipopata nafasi ya kuzungumza na paparazi mwingine, Uwoya hakuwa na cha maana cha kujieleza zaidi ya
kujibaraguza na kudai kuwa habari ile imemfedhehesha na kwamba hawezi kutoka kimapenzi na Diamond.
Uwoya alipoelezwa kwamba timu ilikuwa na ushahidi wa kutosha wa picha za video alikanusha na kudai kuwa angeweza kuja
kuziona ofisini ili kujiridhisha. Hata hivyo, hakutokea mpaka giza linaingia siku hiyo.
Kwa upande mwingine, Uwoya alimwambia mwandishi mwingine: “Ndoa yangu imevunjika rasmi asubuhi hii. Mume wangu
alizimia baada ya kuiona ile habari yenu, nyienyie.” (mazungumzo hayo yemerekodiwa, siku akitaka afike Global na mawakili wake
wasikie sauti).
WADAU WAKE JE?
Kabla ya mchana wa siku ambayo habari hiyo ilitoka, tayari stori hiyo ilikuwa imeshasambaa katika mitandao mbalimbali ya
kijamii na wadau walitoa maoni yao, wengi wakimshambulia Uwoya kwa kuacha ndoa yake na kwenda kujirusha na ‘bwana mdogo’
sana, Diamond.
“Mtoa maoni mmoja alitupia hivi: “Mh! Bado sijapata picha ya sampuli ya Uwoya. Ni mwanamke wa aina gani? Si juzi tu alipatana
na mumewe sasa inakuwaje anakutwa na Diamond usiku hotelini?”
IRENE UWOYA NI NANI?
Irene Uwoya ni Miss Tanzania namba 5, mwaka 2006 akitanguliwa na Wema Sepetu, Jokate Mwegelo, Lissa Jensen na Victoria
Martin. Kwenye filamu aliibuliwa na Lucy Komba katika katika sinema yake iliyomkutanisha na Yusuf Mlela.
Kwa sasa ni Makamu Mwenyekiti wa Bongo Movie Unit akiwa chini ya Mwenyekiti Vincent Kigosi ‘Ray’.
KIFUATACHO
Baada ya kumheshimu na kutunza siri zake kwa muda wote huo, Global Publishers imejipanga kuvunja ukimya kwa kuanika video
ya Uwoya na Diamond hatua kwa hatua kuanzia walipoingia hotelini.
Zoezi hilo litafanyika mapema sana mara baada ya kujiridhisha kwamba ni kweli anatarajia au amefikisha barua hiyo ya madai
katika ofisi za Global.
Mtandao namba moja kwa burudani Bongo, www.globalpublisherstz.comndiyo utakuwa wa kwanza kuanika kabla ya kuhamishia
kwenye mitandao mingine ya kijamii ukiwemo ule maarufu wa Youtube ili kutoa nafasi kwa Watanzania kuona kama ‘Oparesheni
Fichua Maovu ya Global’ inafanya kazi kweli au ni fiksi tu na faragha iliyoingiliwa ni ipi?!
mwaka 2009 katika Kanisa Katoloki, Parokia ya Mt. Joseph, Posta jijini Dar es Salaam.Uwoya ni mke halali wa msakata kabumbu wa kulipwa nchini Rwanda, Hamad Ndikumana ‘Kataut’ ambapo ndoa yao ilifungwa

VAN PERSIE AIGAWIA TANZANIA UBINGWA ENGLAND
Posted by GLOBAL on April 24, 2013 at 12:23pm0 Comments 0 Likes

VITAMBULISHO FEKI VYA KURA VYANASWA!
Posted by GLOBAL on April 24, 2013 at 9:30am5 Comments 0 Likes

Huku vuguvugu la Uchaguzi Mkuu 2015 likianza kwa kasi, gazeti hili kwa kushirikiana na jeshi la polisi nchini wamefanikiwa

Vitambulisho hivyo ambavyo kwa muonekano havina tofauti na vile ‘orijino’ vinavyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi vilinaswa ndani ya ‘steshenari’ moja inayomilikiwa na mwanamke aitwaye Levina Mapunda iliyopo Tabata Mawenzi jijini Dar.…
BONGE LA SOO!
Posted by GLOBAL on April 24, 2013 at 9:21am15 Comments 2 Likes

Aisee ni bonge la soo! Wanawake ambao majina yao hayakupatikana, wakazi wa Sinza, Dar es Salaam wamekumbana na sekeseke
la aina yake la ubakaji kisa kikiwa ni uvaaji wa vimini ambao kwa sasa umeshika kasi kila kona Bongo, Risasi Mchanganyiko lina
mzigo kamili.
Mrembo akilia baada ya kunusurika kubakwa
Mwanahabari wetu akiwa katika Oparesheni ya Fichua Maovu inayoendeshwa na Magazeti ya Global Publishers, mwishoni mwa
wiki iliyopita usiku wa manane, alinyetishiwa…

REDDS MISS DAR INDIAN OCEAN
Posted by GLOBAL on April 24, 2013 at 4:30pm0 Comments 0 Likes
TAIFA STARS KUCHEZA MICHUANO YA COSAFA
Posted by GLOBAL on April 24, 2013 at 4:00pm0 Comments 0 Likes
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Aprili 24, 2013
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itashiriki michuano ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Kusini mwa Afrika (COSAFA) itakayofanyika Julai mwaka huu nchini Zambia.
Taifa Stars inashiriki michuano hiyo ya timu za Taifa za nchi wanachama wa COSAFA ikiwa timu mwalikwa. Nchi wanachama wa COSAFA ni Afrika Kusini, Angola, Botswana, Comoro, Lesotho, Madagascar, Malawi, Mauritius, Msumbiji, Namibia, Shelisheli, Swaziland, Zambia na Zimbabwe.
Michuano hiyo itafanyika kuanzia Julai 6 hadi 21 mwaka huu katika miji ya Lusaka, Ndola na Kabwe. Ratiba ya makundi ya michuano hiyo itapangwa Mei 3 mwaka huu jijini Lusaka.
Mara ya mwisho michuano…
Watu wapatao 30 wafariki baada ya jengo la Gorofa nane kuporomoka Bangladesh
Vikosi vya uokoaji vinasema, watu wapatao 30 wamefariki dunia na mamia wengine wanahofiwa kukwama baada ya jengo la ghorofa nane kuporomoka katika mji mkuu wa Bangladesh, Dhaka.
Juhudi za ziada zinaendelea kuwaokoa watu walionaswa kwenye kifusi. Watu wapatao 200 wamejeruhiwa kufuatia ajali hiyo. Jeshi linasaidia shughuli za uokoaji katika eneo la tukio nje kidogo ya jiji la Dhaka.…

ADVERTISEMENTS
HADITHI ZA SHIGONGO
FORUM
KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?
JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!
HALI INAYOENDELEA BUNGENI, SPIKA NA NAIBU WAKE WAMESHINDWA KUONGOZA?
Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?
VURUGU ZINAZOENDELEA HAPA NCHINI NANI WA KULAUMIWA?
HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…
Subscribe to:
Posts (Atom)