Sunday, September 29, 2013

BONDIA ZUMBA KUKWE AMGALAGAZA HAMADUU MWALIMU NYUMBANI KWAKE

Bondia Zumba Kukwe kushoto akimtupia ngumi Hamaduu Mwalimu wakati wa mchezo wao uliofanyika  kwenye ukumbi wa Temeke Mikoroshini ambapo ... thumbnail 1 summary


Bondia Zumba Kukwe kushoto akimtupia
ngumi Hamaduu Mwalimu wakati wa
mchezo wao uliofanyika  kwenye ukumbi wa
Temeke Mikoroshini ambapo ni nyumbani
kwa hamaduu Kukwe alishina kwa K,o ya
raundi ya tatu picha
nawww.superdboxingcoach.blogspot.com
Refarii Sako Mtlya katikati akimwesabia
bonia Hamadu Mwalimu baada ya kupokea
konde zito kutoka kwa Zumba Kukwe kulia
Kukwe alishina mchezo huo ka K,O ya
raundi ya tatu Picha
na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Zumba Kukwe akisagilia ushindi na
Kocha wa Mkoa wa Pwani Agostin Uyaga
baada ya kwisha mpambano huo
Bondia Mbena Rajabu Kushoto na Kassim
Rajabu wakipambana wakati wa mpambano
wao wa utangulizi
Matokeo ni Droo
Bondia Saidi Mwalimu kulia akioneshana
umwamba wa kutupiana makonde na
Zakaria Kibwana wakati wa mchezo wao
uliofanyika  katika ukumbi wea super sterio
mwalimu alishinda kwa ko, ya raundi ya nne