Miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa yakinipa woga na hofu ni kuoa
mwanamke anayetumia sana mitandao ya kijamii zaidi ya moja mfano
Twitter, Facebook, INSTAGRAM nk , Siku hizi wimbi kubwa limeibuka la
wadada kutumia mitandao hii unaweza kwenda na mdada Date lakini asilimia
80 atakuwa anabofya bofya simu yake badili ya kuongea na wewe ...huwa
naondoa 60% kuwa sitowezana naye maana ni bora mwanaume akawa anafahamu
mambo mengi kuliko mwanamke atakudharua san maana kila mtakachozungumza
lazima apeleke mtandaoni huku upo naye hapohapo na hivyo kuona huna
jipya kwake, hii imenifanya mahusiano na m/ke kitu muhimu kuuliza ni
kuwa anatumia mitandao gani ya kijamii ili namna ya kukabiliana naye au
wadau mnasemaje watu hawa wanafaa kuwa wife material kweli!
Tuesday, October 22, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)