RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA BARABARA MKOANI MANYARA, ARUSHA Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkuru...
5:29 AM
RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA BARABARA MKOANI MANYARA, ARUSHA
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za
Tanzania, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakiweka jiwe la
msingi kwa ajili ya kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Arusha Minjingu
maeneo ya kijiji cha Mguu-wa-Zuberi wilayani Monduli, Mkoani Arusha.
No comments
Post a Comment