RAIS WA KENYA AZINDUA BARABARA YA MWAI KIBAKI JIJINI DAR ES SALAAM LEO ...
4:18 PM
RAIS WA KENYA AZINDUA BARABARA YA MWAI KIBAKI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Mwai Kibaki wa Kenya
wakiongozwa na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kutembea hatua
chache kabla ya kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki
linalochukua nafasi ya jina la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye
makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old
Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Rais Mwai Kibaki wa Kenya akikata utepe, akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri…
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Mwai Kibaki wa Kenya
wakiongozwa na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kutembea hatua
chache kabla ya kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki
linalochukua nafasi ya jina la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye
makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old
Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Rais Mwai Kibaki wa Kenya akikata utepe, akishuhudiwa na mwenyeji wake
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na
Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kuzindua rasmi jina la
Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jina la barabara ya Old
Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na
iliyokuwa Old Bagamoyo. Bendi
ya Vijana Jazz ikitumbuiza wakati wa uzinduzi rasmi jina la Barabara
ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo
leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na
iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Sehemu ya barabara iliyopewa rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki
linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye
makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old
Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akimkabidhi zawadi ya kasha la
Zanzibar Rais Mwai Kibaki huku mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akishuhudia katika uzinduzi rasmi wa jina la Barabara ya Mwai
Kibaki linalochukua nafasi ya jina la barabara ya Old Bagamoyo leo
kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa
Old Bagamoyo. (PICHA NA IKULU)
No comments
Post a Comment