ALIYEMGONGA TRAFIKI NKO AFIKISHWA MAHAKAMANI
</..more..> Simbo akitolewa selo. Akiingizwa mahakamani. Akisubiri kusomewa mashitaka. Akiteta jambo na Is...

Akiondoka eneo la mahakama mara baada ya kesi kuahirishwa akiwa na wakili wake.
Jackson Simbo anayedaiwa kumgonga kwa gari marehemu trafiki Elikiza Nko wiki iliyopita maeneo ya Bamaga-Mwenge jijini Dar es Salaam amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Wilaya ya Kinondoni. Mshitakiwa huyo ameachiwa kwa dhamana hadi kesi hiyo itakapo tajwa tena Aprili 15 mwaka huu