FAHAMU HAPA SABABU ZA JAY Z KUITEMA BROOKLYN NETS
Rapa Jay Z hatimaye ameuza sehemu ya sharez zake kwa timu ya Brooklyn Nets na hivyo kuwa si sehemu tena ya wamiliki wa timu hiyo.

Ili kuweka mambo sawa kwa hatu aliyochukua, Rapa huyu amesema kuwa, ingawa amejiondoa katika Umiliki wa timu hii, Ushabiki wake unaendelea kwa nguvu zaidi.

Hatua hii ya Jigga imekuja hasa kutokana na msukumo wa sheria za NBA kumfunga kufanya shughuli za Uwakala wa Usimamiaji wa wanamichezo kupitia Roc Nation Sports, wakati huo huo akiwa mdosi wa Brooklyn Nets.
Hii ndiyo sehemu ya barua ambayo mkali huyu ameandika kufafanua uamuzi aliofikia;
Being a member of the Nets organization surpassed some of my greatest ambitions. It was never about an investment; it was about the NETS and Brooklyn. My job as an owner is over but as a fan it has just begun. I’m a Brooklyn Net forever. It’s been an honor to work with Mikhail Prokhorov, Dmitry Razumov, Christophe Charlier, ONEXIM Sports and Entertainment, Brett Yormark and all the wonderful people involved in making the Nets first class. My sincerest thanks goes to Bruce Ratner, who first introduced the idea of moving the Nets to Brooklyn. A thank you and deepest appreciation goes to the fans. You are the lifeblood of any team.
The Nets have made their mark on the NBA and as they enter a new era, Roc Nation does as well; as we embark on Roc Nation Sports. Our newest endeavor is committed to building the brands of professional athletes as we have done for some of today’s top music artists. For Roc Nation Sports to function at its full potential, NBA rules stipulate that I relinquish my ownership in the Brooklyn Nets. It was a tough decision but as I stated earlier, it’s not about ownership. Congratulations to The Nets on a great season and making the playoffs! I will always be a Brooklyn Net.

HUYU NDIO VICE PRESIDENT MPYA WA MAYBACH MUSIC GROUP [MMG]
Bosi wa 'kru' ya MMG, Rick Ross, amemchagua rasmi mnyamwezi Kendell Freeman p.k.a. Young Sav kuwa kama msaidizi wake - Vice Persident wa lebo yake ya MMG.
Mkali huyu amekuwa na mchango mkubwa sana katika muziki wa Rick Ross, na katika profile yake, amekwishapiga kazi ya nguvu na wakali kama vile Lil' Jon, Pitbull, na Ying Yang Twins, Young Sav pia akiwa chini ya lebo ya Def Jam kama Mixshow Manager, amepata nafasi ya kufanya kazi kwa karibu na Jay-Z akiwepo pia Rick Ross, 2 Chainz, Fabolous na Jadakiss.
Ross amesema anajisikia poa sana kuwa na mtu kama Young Sav ndani ya Maybach Music Group, na kwa upande wake the new Vice President - Amemshukuru sana Ross kwa kuona jitihada zake na kumuweka katika nafasi kubwa kama hii.
![]() |
Kendell Freema |

![]() | ||
MMG Crew |
HAWA NDIO WATU 100 WENYE INFLUENCE ZAIDI DUNIANI KWA MWAKA 2013
![]() |
Omotola Jalade |
![]() |
Jay Z |
![]() |
Pope Francis 1 |
![]() |
Mario Balotelli |
![]() |
Joyce Banda |
![]() |
Barack Obama |
Orodha hii ni kwa mujibu wa TIME, na kwa maelezo zaidi tembeleahttp://time100.time.com/2013/04/18/time-100/slide/all/ |
HUYU NDIYE STAR ATAKAYE-'EM-C' BET AWARDS 2013
Mwigizaji na mchekeshaji maarufu duniani, Chris Tucker ametangazwa kuwa ndiye mtu atakayeongoza sherehe za tuzo za BET za mwaka huu ambazo zitafanyika tarehe 30 mwezi June.
Tucker mwenyewe amezungumza na kusema kuwa, anafurahi sana kuwa kupata heshima ya kufanya kazi hii na kwa sasa anasikilizia kwa hamu nafasi ya kuwa sehemu ya tukio hili kubwa.
Kwa mwaka huu, sherehe za tuzo hizi zitachukua siku 3 mfululizo zikianzia
tarehe 28 June ambapo kutakuwa na show inayosubiriwa kwa hamu kutoka kwa Beyonce, Kendrick Lamar, R Kelly pamoja na The Jacksons.
![]() |
The Jacksons |
![]() | ||
R Kelly
|
![]() |
Beyonce |