Mmoja ya washiriki wa BBA 2013, The Chase toka Tanzania Amir, akiwa katika pozi ambapo mwaka huu huyu ndiyo mwakilishi wetu akiwa n...
2:43 PM
Mmoja ya washiriki wa BBA 2013, The Chase toka Tanzania Amir, akiwa katika pozi ambapo mwaka huu huyu ndiyo mwakilishi wetu akiwa na mwanadada Feza Kessy. Tunawaombea mtuwakilishe vyema mwaka 2013.
Msimu mpya wa Big brother Afrika umewadia na msimu huu Tanzania itawakilishwa na mwanadada Fedha Kessy Big Brother Africa 2013 itaanza kesho tarehe 26 May 2013. Ina jumla ya washiriki 28 kutoka nchi 14 Africa. All the Best dada yetu.