Monday, May 20, 2013

RAIS JK ALIPOONGOZA MAZISHI YA MZEE SKYES LEO.

Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais Dk Mohamed Ghalib Bilal, Marais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, Waziri M... thumbnail 1 summary


Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais Dk Mohamed Ghalib Bilal, Marais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu Dk Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (aliyesimama kushoto), Mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru (aliyeketi kulia)  wakiungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Mzee Ally Kleist Sykes, mmoja wa waasisi wa chama cha TANU, leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo Mei 20, 2013
Rais Jakaya Kikwete akiongoza akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi hayo.  
Rais Jakaya Kikwete akiongoza mamia ya waombolezaji katika kuomba dua wakati wa mazishi ya mwasis huyo gwiji.
You might also like: