Kwa habari zilizotufikia kwenye uwanja wetu wa mawasiliano zinasema kwamba Rapper wa Bongo anaejulikana kwa jina la Kimbunga amembaka msanii wa THT Linah Sanga. Taarifa zinasema kuwa mpaka sasa Kimbunga ameshikiliwa na jeshi la polisi na yupo kwenye kituo cha usalama / polisi cha Oysterbey.
Hii ni status ya ya msanii Kalapina kupitia Facebook.