Sunday, August 4, 2013

HUYU NDO MWANAMUZIKI ANAEONGOZA KWA KUVAA VIZURI NA KUPENDEZA BONGO

     Jux ndie Msanii anaeongoza kwenye uvaaji wa Brand kali maarufu na zinampendeza, wapo wengi ambao wanavaa vizuri lakini Jux kwa ... thumbnail 1 summary
 
 Jux ndie Msanii anaeongoza kwenye uvaaji wa Brand kali maarufu na zinampendeza, wapo wengi ambao wanavaa vizuri lakini Jux kwa Tanzania ni namba moja ukitaka kujua hilo jaribu kufatilia kwa makini utapata jibu.
Hizi ni baadhi ya Picha zikimuonesha Jux katika muonekano tofauti tofauti.









No comments

Post a Comment