Msanii wa Bongo
movie/bongo fleva, Hemedi a.k.a PHD alipata ajali jana usiku maeneo ya
kijitonyama kisiwani, alipokuwa akitokea sinza kumshusha swahiba wake Gelly wa
rhymes.
Hemedy ambae
haijulikani alikuwa anaendesha under influence au la, alijikuta akivamia
kalavati lililopo pembeni ya mtaro na kusababisha ajali hiyo iliyopelekea gari
alilokuwa nalo kuwa nyang'anya'nga
Hemedi ameumia sana
hasa kifua na kwa sasa anaendelea na matibabu na anaonekana kuwa na maumivu
makali baada ya kuandia status hii
THANK
GOD IM STILL ALIVE...NIMEUMIA SAANA KIFUANI ILA NAENDELEA NA MATIBABU..AHSANTE
SANA @gellywarhymes kwa
MAPENZI YAKO KWANGU NA WENGINE WOTE WALIONIPA POLE...#IN PAIN
No comments
Post a Comment