Msanii maarufu wa bongo flava Joseph Haule aka Proffesor Jay, leo hii amejiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kukabidhiwa...
5:28 PM
Msanii maarufu wa bongo flava Joseph Haule aka Proffesor Jay, leo hii
amejiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kukabidhiwa
kadi yake ya uanachama mjini Dodoma.