Kadhia ya usafiri wa Noah: Abiria
wakiwa wamepangwa hadi nyuma ya siti wakiwa kwenye usafiri huo kutoka Mikumi
kwenda Mjini Morogoro, kama walivyokutwa leo na kamera yetu eneo la Kijiji cha
Mangae, Wilaya ya Mvomero ,barbara kuu ya Iringa - Morogoro. Licha ya gari hizo
kuruhusiwa kubeba abiria baadhi ya wenye magari hayo hawazingatii kanuni za
usafirishaji kwa kujaza abiria wengi kinyume na sheria.
Abiria wanashuka, wengine
wanaingia...
Mlango
unafungwa
Haya, safari
njema...
No comments
Post a Comment