.
Mpiganaji Gracemo Bambaza (pichani)
aliyekuwa mwandishi wa habari za michezo aliyekuwa akikitumia kituo cha Radio
cha wapo Radio cha Kurasini jijini Dar es Salaam /Pride Fm ya Mtwara na kituo
cha ABM ya Dodoma na kufanya Mafunzo ya Habari akiwa katika masomo yake ya
Diploma katika kituo cha Channel 10 amefariki Dunia jana Agosti 14,
2013.
Marehemu alikuwa akisumbuliwa na
Saratani ya Koo mpaka mauti yanamkuta katika Hospitali ya Ocean Road. Marehemu
alizaliwa Mwaka 1973 Mkoani Kagera na amesafirishwa leo Agosti 15, 2013 kwenda
Karagwe mkoani kagera kwa mazishi. Marehemu ameacha Mke na mtoto
Mmoja .
Kwa Taarifa zaidi wasiliana na Dada wa Marehemu
Mary Mihigo
0713 64 49 41
Kwa Taarifa zaidi wasiliana na Dada wa Marehemu
Mary Mihigo
0713 64 49 41
.
No comments
Post a Comment