Jinsi ya kufanya kwa E303
1. Pata kwanza Unlock Code na Flash Code ya Modem yako E303 kwa kutumia IMEI yako hapa
2. Kisha Install software ya Modem yako kwa software iliyomo sasa hivi ndani ya modem kama bado hujainstall.
3. Update firmware yako kwa kuinstall Airtel Default Firmware (haiko locked ipo ndani ya rar. folder ulilodownload), hapa utahitaji kuingiza Flash Code
4. Baada ya hapo ingiza E303C ku-update dashboard yako kwenda new version
NB: usisahau ku-unlock baada tu ya ku-update firmware kwa sababu itajilock tena.
Dondosha THANKS au Like kama imekubamba
Tafadhali usifanye kwa biashara, its my upload on 4shared
Kwa wale wenye Modem za Vodacom K3570-Z au K3571-Z tumia njia hii
No comments
Post a Comment