Wadau
ningependa tuiangalie smartphone hii kutoka Lenovo ambayo ni
watengenezaji namba 1 wa computer duniani (wakifuatiwa name hp).
Lenovo P780 ina battery yenye ukubwa wa 4000mAh ambayo inaweza:
- Kukaa na chaji kwa siku 3 kama unatumia kawaida tu kwa maana ya intanet, music na calling za kawaida.
- Inaweza kuongea kwa masaa 43 mfululizo (bila kukata simu) ukitumia 2G.
- Ina uwezo wa kuchaji smartphone zingine zenye battery za 2000mAh
- Inauwezo wa kukaa standby (ukiiwasha tu na usipoitumia) kwa siku 35 kwa kuchaji mara moja tu.
Lenovo P780 ina camera yenye 8MP na front camera yenye 1.3 Mp.
Guys, wote tunajua kuwa kero kubwa kwa smartphone ni kutokaa kwa chaji
lakini simu hii imeonekana kuwa solution kwa tatizo hilo. Kama unaweza
kukaa na smartphone kwa siku 3 bila kuichaji then this is the best
thing.
More details ingia kwenye gsmarena.com then search Lenovo P780. Naamini utaikubali. Bei yake ni affordable ni Dollar 230 kwenye Smartphone Dual SIM,Smartphone Wifi GPS,Android Dual SIM Smart Phones
Tuesday, January 7, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments
Post a Comment