PROMOTIONAL NEEDS
Wednesday, May 15, 2013
RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE ATEMBELEA VIWANDA VYA BIDCO OIL NA AZAM BUGURUNI
thankx
Facebook
Twitter
RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE ATEMBELEA VIWANDA VYA BIDCO OIL NA AZAM BUGURUNI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na wadau wa lishe bora kutoka mashirika mbalimbali ya kimataifa wakizindua mpango wa kuweka vi...
2:22 PM
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na wadau wa lishe bora kutoka mashirika mbalimbali ya kimataifa wakizindua mpango wa kuweka virutubisho vya lishe bora katika bidhaa za unga na mafuta nchini uliofanyika katika kiwanda cha BIDCO Oil and Soap kilichopo katika eneo la viwanda la Mikocheni jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mafuta yaliyowekwa virutubisho vya lishe bora wakati alipokitembelea kiwanda cha BIDC Oil and Soap kilichopo eneo la viwanda la Mikocheni jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mafuta yaliyowekwa virutubisho vya lishe bora wakati alipokitembelea kiwanda cha BIDC Oil and Soap kilichopo eneo la viwanda la Mikocheni jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akongea na wafanyakazi wa kiwanda cha BIDCO Oil and Soap muda mfupi baada ya kuzindua mpango wa kuweka virutubisho bora vya lishe katika bidhaa za unga na mafuta uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mtaalamu wa kusaga unga Bwana Patrick Muriuki(kulia) akimwongoza Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kuweka virutubisho vya lishe bora katika unga kwa kutumia teknolojia ya kisasa wakati Rais alipotembelea Kiwanda cha Azam kinachomilikiwa na S.S. Bhakressa Buguruni jijini Dar esSalaam kukagua uwekaji wa virutubisho vya bora katika bidhaa zinazozalishwa kiwandani hapo.
Rais Dkt.Jakaya kikwete akiangalia ukaguzi wa uwepo wa virutubisho vya lishe bora katika bidhaa zinazozalishwa katika kiwanda cha kuzalisha unga AZAM ukifanyika katika maabara ya kiwanda hicho Buruguruni jijini Dar es Salaam leo.
BONGO CELEBS
,
BONGO NEWZ
,
HABARI ZA KIDUNIA
Share:
Facebook
Twitter
Google+
Newer Post
Older Post
Home
TANZANIA THE BEST
WALIOTEMBELEA
Popular Posts
AGNES MASOGANGE ACHEZA PICHA ZA X NCHINI AFRICA KUSINI VIDEO YAKE YAWAPAGAWISHA WAZUNGU WAMUANDALIA MAMILIONI YA DOLA PINDI ATOKAPO JELA
video yake ya ngono ya kwanza Video yake ya pili
DOWNLOAD NYIMBO YA STAMINA FT DARASA WARDA-MWAMBIE MWENZIO
DOWNLOAD YOUNG KILLER FT. STAMINA & QUICK RACKA - JANA NA LEO
DOWNLOAD
DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA NEY WA MITEGO FT DIMOND - MUSIC GANI
DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA NEY WA MITEGO FT DIMOND - MUSIC GANI
DOWNLOAD RECHO - MWALI KIGEGO
DOWNLOAD
DOWNLOAD NYIMBO YA BELLE 9 --WANITAKA
Mwanafunzi Wa UDOM Ajiuza Kwa Kuweka Picha Zake Za Utupu Facebook. Profile Yake Hii.
Katika hali ya kushangaza msichana mmoja anaejiita Seche Mautamu ambae anajiuza kupita mtandao wa kijamii wa facebook kwa kuwe...
PICHA ZA NUSU UCHI ZA KUNDI LA "ZE KOMEDI' ZAVUJA'.....HII NI ZAIDI YA AIBU
P icha za aibu zinazowaonesha wasanii wa kundi la Ze Komedi wakiwa kwenye fukwe moja ya huko Kigamboni zimezua balaa kubwa ...... ...
ZIJUE SIFA ZA "MWANAUME ANAYETAKA KUWA SERIOUS NA WEWE" NA "MWANAUME ANAYEKUCHEZEA''
ATAKAYEKUOA SIFA ZAKE NI KAMA IFUATAVYO... 1. ANABADILIKA Mwanaume Ambaye Ana Malengo Ya Kuoa Hubadilika Kitabia. Muda Mwingi Hut...
download kasimu - i love u