Wednesday, May 29, 2013

HENRY MDIMU ATEULIWA KUA MSEMAJI WA KILL MUSIC AWARDS

  Leo tarehe 28 Aprili 2012, Meneja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager amemtambulisha kwa waandishi wa habari, Mhariri wa habari za ... thumbnail 1 summary


Leo tarehe 28 Aprili 2012, Meneja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager amemtambulisha kwa waandishi wa habari, Mhariri wa habari za burudani wa gazeti la mwananchi, Bw Henry Mdimu kuwa msemaji mkuu wa Academy ya Kili Music Awards kwa msimu huu wa mwaka 2013/14 katika ukumbi wa safari Pub uliopo ilala, katika bohari ya kampuni ya bia Tanzania, TBL

Mdimu ambaye amekuwa Mjumbe wa Academy kwa mwaka wa nne sasa, pia mwaka jana aliongoza jopo la majaji katika kutafuta vipaji vipya vya muziki wa kizazi kipya, katika ziara iliyoitwa Kili Talent search Tour ambapo wasanii kama Yopung Killer na neylee walipatikana kupitia msako huo ulioendeshwa katika mikoa mitano.

Uteuzi wa mdimu umepokelewa kwa mtazamo chanya na wadau huku kila mmoja akiamini uchapakazi wake na uadilifu alionao katika medani ya sanaa ndio uliopelekea mpaka Baraza la sanaa la taifa, ambao ndio wamiliki halali wa tunzo hizo, kulitaja jina la mdau huyu ambaye mwaka huu ametimiza miaka 17 tangu kuanza kazi ya uandishi wa habari za burudani.

Mdimu ambaye pia aliwahi kuwa mtangazaji wa kituo cha redio cha Times, baada ya uteuzi huo alionekana akiwa mtu mwenye kuangalia uwezekano wa kuirasimisha fani ya muziki kuwa ajira rasmi yenye kuheshimika.

"Hili ni daraja nimepandishwa, lakini nataka kuwaambia ndugu zangu kwamba nitaitumia hii nafasi kama jukwaa la kusemea wasanii wetu wa Tanzania, ili wafikier hadhi zao ambazo mpaka sasa, wengi wao hawajazitambua".

Mdimu ambaye ni mjukuu wa mwanamuziki wa zamani wa bendi ya Watangatanga, Mzee Herry Mdimu ataifanya kazi hiyo kwa mwaka mmoja na mwakani atachaguliwa msemaji mwingine>

DIVA WA CLOUDS FM AMPA SUPPORT "MKE MWENZA WA KENYA " ANAYEIWAKILISHA NCHI HIYO KWENYE BIG BROTHER AFRICA

  Juzi (May 26) ndio ulifanyika ufunguzi rasmi wa shindano kubwa Africa la Big Brother ambalo mwaka huu limepewa jina la “The Chase”, ... thumbnail 1 summary


 

Juzi (May 26) ndio ulifanyika ufunguzi rasmi wa shindano kubwa Africa la Big Brother ambalo mwaka huu limepewa jina la “The Chase”, na tayari washiriki wa nchi zote ikiwemo Tanzania wamekwisha fahamika.



Huddah Monroe a.k.a The boss lady ambaye ni model mwaka huu ndio amebeba imani za wakenya za kurudi na kitita cha $300,000 zinazoshindaniwa katika msimu wa 8 wa shindano la Big Brother “The Chase” baada ya kuchaguliwa kuiwakilisha nchi hiyo ya jirani. 

Siku chache zilizopita jina la Huddah limeonekana kupata umaarufu zaidi Tanzania hasa kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, baada ya binti huyo mwenye historia ya matukio mengi ya utata huko Kenya (pamoja na kujihusisha na upigaji wa picha za utupu) kujikuta anaingia katika ugomvi wa maneno na mtangazaji maarufu hapa Tanzania Loveness Love a.k.a Diva kutokana na kinachoaminika kuwa sababu ni Prezzo. 

Diva a.k.a mimi Kupitia akaunti yake ya twitter, juzi (May 26) aliandika tweet inayoonesha kuweka kando tofauti alizokuwa nazo na Huddah na kuahidi kumsupport kwa kutokumwandikia “shit” kama njia ya kumuunga mkono “wifi” katika BBA.


Diva amekuwa akidai kuwa na mahusiano ya kimapenzi na rapper kutoka Kenya CMB Prezzo, kitendo kilichopokelewa tofauti na mrembo Huddah ambaye pia kulikuwa na tetesi aliwahi kudate na “Liq Her” hit maker, Rapcellency, Prezzo.

M2 The P yuko hai! Habari za awali zilizosema amefariki si sahihi

Picha ya marehemu M2 the P na Ngwair, waliyopiga usiku wa dhahama Kwa mujibu wa DJ Fetty, habari zenye uhakika zilizotoka kwa Dr aliekuw... thumbnail 1 summary

Picha ya M2 the P na Marehemu Ngwair, waliyopiga usiku wa dhahama Picha ya marehemu M2 the P na Ngwair, waliyopiga usiku wa dhahama
Kwa mujibu wa DJ Fetty, habari zenye uhakika zilizotoka kwa Dr aliekuwa ICU, katika hospitali ya St Hellen Joseph, zimethibitisha kuwa msanii aliekuwa na Ngwea wakati mauti yanamkuta, ambae yeye pia alikua hoi hospitali, anaendelea vizuri, na anaongea kwa sasa, ila uchunguzi wa kile kilichosababisha kufikishwa hospitali hapo bado unaoendelea.

M2 the P alipelekwa katika hospitali ya St. Hellen iliyopo nchini humo kwa matibabu baada ya kukutwa amepoteza fahamu akiwa na Mangwair aliyefariki dunia jana. Mwili wa marehemu Mangwair bado upo katika hospitali ya St. Hellen na mipango ya kuhamisha mwili huo bado inaendelea.

Baadhi ya Watanzania waishio nchini Afrika Kusini wamejikusanya kwa ajili ya kuandaa mipango ya kuhifadhi mwili huo pamoja na safari ya kuuleta nchini Tanzania.

Hii hapa chini ni sauti ya daktari wa hospitali hiyo akielezea hali ya msanii M2 The P, akisema hali yake imekakamaa kidogo

Tuesday, May 28, 2013

UPDATE: MWANA FA NA KALAPINA WAAHIRISHA SHOW ZAO ZA MWISHO WA WIKI KUTOKANA NA KIFO CHA MSANII MANGWEA...

Ku tokana na habari za kufariki kwa mwanamuziki Albert Mangwair, msanii ambaye ni mmoja kati ya wana Hip Hop maarufu nchini, Mwanamu... thumbnail 1 summary


Kutokana na habari za kufariki kwa mwanamuziki Albert Mangwair, msanii ambaye ni mmoja kati ya wana Hip Hop maarufu nchini, Mwanamuziki mwingine pia wa Hip Hop Hamis Mwin'jumah, a.k.a MwanaFA(Pichani)nametangaza kuahirisha show yake ya The Finest iliyokuwa ifanyike Ijumaa hii May 31, 2013.


MwanaFA ameiambia thankxgod  blog Blog kwamba kuguswa kwake na taarifa hizi kumesababisha ajisikie kuomboleza kwanza, kabla maisha mengine hayajaendelea, kwa hiyo amewaomba radhi mashabiki, hasa wale waliokuwa wameshanunua tiketi, na kuwaomba wawe na subira, tarehe ya show itratangazwa tena baada ya mwili wa marehemu kuletwa na kupumzishwa,

HII NDIO SABABU INAYODAIWA KUSABABISHA KIFO CHA NGWAIR. SOMA HAPA

ripoti kamili Taarifa Nilizo Pata Kutoka South Africa Kutoka Kwa Hussein Original Ambaye Yupo Pretoria Amesema Ngwear Amefa... thumbnail 1 summary



ripoti kamili
Taarifa Nilizo Pata Kutoka South
Africa Kutoka Kwa Hussein
Original Ambaye Yupo Pretoria
Amesema Ngwear Amefariki Leo

Asubuhi. Alikuwa Ghetto Moja Na
Msanii M To The P.
Walivyokwenda Kuwagongea
Asubuhi Walikuta Ngwear
Amefariki Na M To The P
Amepoteza Fahamu Kabisa. Pia
Daktari Ameshatoa Taarifa Kwa
Watu Wa Karibu Wa Ngwear
Huko South Africa. Ngwea akiwa na msanii M to the P jana south africa.mtu wa karibu anasema walitakiwa kurudi dar leo lakini waliwakuta wamezima kwenye room wote wawili baada ya kuji overdose madawa ya kulevya na M to the P yupo hoi hospitali.

TAARIFA YA MSANII BUSHOKE ALIYEKO SOUTH AFRICA KWA SASA KUHUSU KIFO CHA ALBERT MANGWEA..!!

Man Ngwair MSANII maarufu wa nyimbo za 'hip hop' na Bongo Fleva, Albert Mangwea maarufu kama Man Ngwair aka Ngw... thumbnail 1 summary

Man Ngwair
MSANII maarufu wa nyimbo za 'hip hop' na Bongo Fleva, Albert Mangwea maarufu kama Man Ngwair aka Ngwair ametangazwa kuwa amefariki dunia leo akiwa nchini Afrika Kusini katika hospitali ya St. Hellen ya jijini Johanesburg.

Kwa mujibu wa taarifa za redio mbalimbali jioni hii nchini, inadhaniwa huenda Ngwair amefariki dunia kutokana na matatizo ya matumizi ya dawa za kulevya.

Aidha, taarifa kutoka kwa mmoja wa mtu wa karibu  wa Ngwair nchini humo, Hussein Original aliyepo mji wa Pretoria, alisema alikutwa amefariki wakati msanii mwenzake ‘M To The P’ alikutwa amepoteza fahamu majira ya asubuhi walipokwenda kuwagongea mlango gheto kwao.
 
Daktari  tayari alishathibitisha taarifa hizo na tayari ametoa taarifa  kwa watu wa karibu wa msanii huyo.

Akiongea na redio ya Clouds FM, mwenyeji mwingine wa Afrika Kusini aliyejitambulisha kwa jina la Jonathan amesema usiku wa kuamkia leo 




Mangwair alirudi nyumbani alikofikia akiwa mzima wa afya lakini mpaka kunakucha hakuonesha dalili za kuamka: “Sijui hata huko alitumia nini,” amesema Johnson.

Amesema naye asubuhi kulipokucha aliondoka kuendela na mishemishe yake na alipokuwa huko wenzake walimpigia simu kumtaarifu kuwa wamempeleka Ngwair hospitali kwa kuwa alikuwa bado hajaamka.

Naye mwanamuziki Bushoke anayeishi jijini Pretoria amesema alikuwa akutane na Ngwair leo jijini Johannesburg lakini alishangaa kutompata kwenye simu. Amesema baada ya kuwatafuta washikaji ambao ni wenyeji wake ndipo walipomuambia kuwa Ngwair amefariki: “Unajua Ngwair ni mshkaji wangu sana yaani hata siamini kama amefariki aisee,” amesema Bushoke.

Bushoke amesema kesho amepanga kwenda Johannesburg kujionea mwenyewe.

Kimuziki, Ngwair aliibukia kwenye Dodoma ambako alikuwa katika kundi moja na Noorah na Mez B.

Baadaye akapata dili Bongo Records chini ya mmiliki wa studio hizo, Petter Matthysse ‘P Funk’ aliyemuinua zaidi kimuziki na kumfanya awe miongoni mwa wanamuziki nyota nchini.

Wimbo wake wa kwanza kutamba ni Gheto Langu mwaka 2003 ambao ulimpatia umaarufu kabla ya kutoa albamu yake ya kwanza a.k.a Mimi mwaka 2003 ambayo ilimpatia mafanikio makubwa na kubadili maisha yake.

Hata hivyo, mafanikio hayo yalimlevya na kujitumbukiza kwenye utumiaji wa dawa za kulevya, hivyo kujikuta akishindwa kufanya kazi ya muziki kwa usanifu na kuanza taratibu kufilisika hadi kuuza mali zake zote, ikiwemo gari aina ya Jeep.

Ngwair kutoka kwenye kupanga nyumba nzima maeneo ya Sinza, Dar es Salaam akajikuta anarejea kuishi katika ‘magheto’ ya washkaji zake sehemu mbalimbali Dar es Salaam.

Mwaka 2010, Athumani Tippo, mmiliki wa maduka ya Zizzou Fashions alijaribu kumuinua tena msanii huyo baada ya kumchukua kwenye lebo yake na kumuwezesha kutoa albamu ya pili, Nge.

Hata hivyo, Nge haikufanya vizuri sana na kuzidi kumchanganya msanii huyo hivyo kutopea kwenye dimbwi la utumiaji wa dawa za kulevya na ‘kuharibika zaidi’.

Mafanikio yake zaidi ni kushinda tuzo ya Kilimanjaro Music Awards kama mwana Hip Hop Bora wa mwaka 2005.
Mwaka 2003, msanii Wayne Wonder aliyekuja kutumbuiza kwenye Fiesta aliondoka na CD ya wimbo Mikasi ya Ngwair baada ya kuvutiwa na kibao hicho alichowashirikisha Mchizi Mox na Ferooz. Pumzika kwa amani. Mbele yako, nyuma yetu Ngwair. RIP.

SOUDY BROWN AKIONGEA NA ALIYEKUWA MWENYEJI WAKE HUKO AFRIKA YA KUSINI
0 0

Share this Track:
128 kbps 1.66MB 672 0 1 0
profilepic

BREAKING NEWzz: MSANII WA BONGO FLEVA ALBERT MANGWEA AFARIKI DUNIA...!!

Habari  zilizotufikia  ni  kwamba  msanii  Albert Mangwair  amefariki dunia  akiwa  Afrika  kusini Taarifa zilizotufikia h... thumbnail 1 summary


Habari  zilizotufikia  ni  kwamba  msanii  Albert Mangwair  amefariki dunia  akiwa  Afrika  kusini

Taarifa zilizotufikia hivi punde ambazo bado hazijathibitishwa zinasema kuwa msanii Albert Mangwair amefariki dunia akiwa nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa katika hospitali ya St Hellen.
ENDELEA KUWA NASI TUWEZE KUKUPASHA  ZAIDI.... 

Monday, May 27, 2013

Waliofeli kidato cha nne waula Haya ni matumaini mapya .............

  Idadi ya watahiniwa waliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka jana imeongezeka kwa kati ya asilimia 20 na 23 baada ya Baraza la ... thumbnail 1 summary

 



Idadi ya watahiniwa waliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka jana imeongezeka kwa kati ya asilimia 20 na 23 baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), kufanya marekebisho alama za viwango vya ufaulu, Mwananchi limebaini.
Habari ambazo gazeti hili imezipata zinasema matokeo hayo ambayo yamewezesha kiwango cha ufaulu kupanda na kufikia asilimia kati ya 54 na 57, huenda yakatangazwa wiki hii pamoja na yale ya kidato cha sita ambayo pia yamechelewa kutangazwa.
Chanzo cha habari kutoka Necta kimesema matokeo hayo mapya yanaonyesha kuwa, ufaulu wa kuanzia daraja la kwanza hadi la nne umeongezeka kutoka asilimia 34.5 kwa matokeo yaliyotangazwa awali na huenda yakafikia asilimia 57. Hii inamaanisha kwamba watahiniwa wapatao 82,000 ambao awali walikuwa wamepata sifuri katika matokeo ya awali sasa wamepanda na kupata madaraja ya ufaulu katika matokeo mapya.
Kwa matokeo hayo, watahiniwa wa mwaka 2012 watakuwa wamefanya vizuri kuliko wa mwaka 2011, ambao watahiniwa 225,126 sawa na asilimia 53.37 ya 349,390 waliofanya mtihani huo walifaulu.
Msemaji wa Necta, John Nchimbi alisema upangaji wa matokeo hayo ulikuwa bado unaendelea. “Ninachojua kwa sasa ni kuwa mchakato unaendelea na matokeo yatatangazwa mapema tu ili watoto waweze kujiunga na shule mapema,” alisema Nchimbi.
Pia alisema usahihishaji wa mitihani ya kidato cha sita umekamilika.
Matokeo ya awali
Matokeo ya awali yaliyotangazwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa yalionyesha kuwa kati ya watahiniwa 367,756 waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana, waliokuwa wamefaulu kwa daraja la kwanza mpaka la tatu walikuwa 126,847 sawa na asilimia 6.4. Waliopata daraja la nne walikuwa ni 103,327 sawa na asilimia 28.1.
Katika matokeo hayo, watahiniwa 240,909 sawa na asilimia 65.5 walipata sifuri, hesabu ambayo imebadilika katika matokeo mapya ambayo yanaonyesha kuwa sasa waliopata daraja hilo ni 158,100 ambayo ni asilimia 43.
Hata hivyo, habari kutoka Necta zinasema kuwa licha ya kuwezesha kuongezeka kwa waliofaulu, matumizi ya kanuni mpya ya kukokotoa matokeo hayo yalisababisha zaidi ya wanafunzi 2,500 kushuka ufaulu ikilinganishwa na awali.
Maofisa mbalimbali wa Necta pamoja na wale wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na taasisi zake, walikutana mwishoni mwa wiki iliyopita kukubaliana masuala mbalimbali juu ya matokeo hayo pamoja na suala la matokeo ya wanafunzi hao 2,500 kabla ya kutangazwa wiki hii.
“Baada ya wajumbe kujadili suala lile, busara ilibidi itumike kwa hiyo hakuna mwanafunzi ambaye alama yake itashuka, kwa kawaida isingewezekana mtoto ambaye matokeo yalitoka akiwa amefaulu leo umwambie ameshuka,” kilieleza chanzo chetu.

siku nyingine tuangalie uzuri wa tanzania mungu alio tujaalia

siku nyingine tuangalie uzuri wa tanzania mungu alio tujaalia   ""Sometimes nature is so interesting and we have funny trees... thumbnail 1 summary

siku nyingine tuangalie uzuri wa tanzania mungu alio tujaalia


 
""Sometimes nature is so interesting and we have funny trees like this. If you are not interested with swimming but you will have time to enjoy the nature along Tanzania coast and its nice beach. "

 
"""We promise you unique and special events. Most of our tourist have special moment about their trips in Tanzania Nationa parks. In photo it was fighting between Giraffes "the pride of Tanzania" . Plan your visit now, Your happiness is our intention. ""

 
""here is the southern junction of the eastern and western arms of Rift Valey which starts from Red Sea (dead sea) in Middle East. This is Mount Rungwe which is also active volcano found in the Mbeya, southern Tanzania. When visiting this place will enjoy the sweetest rice from Kyela.



 
"""stone age town Isimila Iringa, South-West Tanzania far back to the primitive ages. this town was made by the time Human Being was using STONE as the main TOOL of production. Means stone was knife, was hoe, was machete was needle.....

 
"""Baobab tree can live up to 100 years, They are available in most part of Tanzania... For example some tribes do agree that it has magic power, its a house of demons, its medicinal plants etc, do you think so?"

 Matema Beach Resort, in the shore of Lake Nyasa, Mbeya Tanzania, such clear water of the this lake, so pleasant for swimming. Recommended for for couples as the place is very romantic,cool,quiet and so unique.""" thinking loud
 
""Feel proud to be on the roof of Africa, Trekking Mountain is a unique and historic event. Welcome to Kilimanjaro National park"" 

 
"""One of our Tourist with Maasai family in popular traditional Maasai Arusha, Tanzania, house "Manyata" if you will be interest you will also have time to dance and super class BBQ

 
"""Coconut water (popular as Dafu) it is very famous drink in the coast of Tanzania. cheaply available and sometime your host can offer you for free as a pride of your visit. Welcome and feel happy with us."""

 
"""Its unbelievable BUT true; come and see the DANCING ROCK in Saa Nane Island, then Wonderful hanging rocks with superb natural landscaping in Mwanza city, at the shore of African largest lake, and 3 in the world, Lake Victoria. the city is also known as Rock City due to its famous magic hanging volcanic rocks. "" thinking loud


 
"""do you know ANTELOPE CAN FLY??!!!!! In Tanzania, in some of National parks, it is possible to see. When they are drinking water while Crocodile is very hungry, The only chance to escape is to fly as you can see in the photo. Come and see the untold wonders of the world. with maximum hospitality"" 

 
"""This rocks of snow are available 5 degree south of Equator, they are there throught out the year. The peak of Mountain Kilimanjaro, in Tanzania. Plan this trekking and you will witness wonders of this Mountain. When the snow melts in Northern countries come and enjoy with us in Tanzania

 
"""UNESCO listed RED COLOBUS monkey as an endemic species, they are found ONLY in Udzungwa, Eastern Tanzania. Be one of the few people (Myself one of them) to see this friendly and very funny monkeys. We always have something unique for you.


 
"""A close view of Lions in Mkomazi National Park. you can have a tour to this park and be bark to Tanga City or Dar Es Salaam city, Tanzania. warmly welcome."" 

 
""If you want you will receive TRADITIONAL ROYAL welcome, (little payment is need off course) In Tanzania, you have a chance to feel at home. Our people are so happy and eager to welcome you""" 

 
""These are parrots.... they have a lot for you if you have enough time to stay with them. Suitable birds for recreation purposes. Welcome to Tanzania we will try to make you stay unique and awesome.""" 

 
""This bird with its uncountable colors is so happy enjoying the beautiful natural environment. I failed to know how many colors does it have. Available in Udzungwa and Kitulo National parks."" thinking loud

 
"""TRUE LOVE is sharing internal feeling and communications between two. Giraffes sharing feeling and communicating as they were found in Ruaha National Park southern Tanzania. we got another lesson from Mother Nature """



"""When you see the white and black Ostrich, i hope you will ask your tour guide what does it mean, why black is bigger and less than the white ones, In any national park in Tanzania they are easily seen"" thinking loud

Sunday, May 26, 2013

MWAKILISHI WA TANZANIA BIG BROTHER AFRIKA 2013 FEZA KESSY NA AMMY NANDO

Mmoja ya washiriki wa BBA 2013, The Chase toka Tanzania Amir, akiwa katika pozi ambapo mwaka huu huyu ndiyo mwakilishi wetu akiwa n... thumbnail 1 summary

Mmoja ya washiriki wa BBA 2013, The Chase toka Tanzania Amir, akiwa katika pozi ambapo mwaka huu huyu ndiyo mwakilishi wetu akiwa na mwanadada Feza Kessy. Tunawaombea mtuwakilishe vyema mwaka 2013.


Msimu mpya wa Big brother Afrika umewadia na msimu huu Tanzania itawakilishwa na mwanadada Fedha Kessy
Big Brother Africa 2013 itaanza kesho tarehe 26 May 2013. Ina jumla ya washiriki 28 kutoka nchi 14 Africa.
All the Best dada yetu.

Friday, May 24, 2013

WASHINDI WETU WA WIKI HII HAWA HAPA

HAHAHAAHAHAHA KWANZA NINAWASHUKURU SANA TENA SANA WADAU WOOTE MLIO JARIBU KUJIBU SWALI LETU LA WIKI HII LISEMALO (IKIWA WATU KUMI(10) WAMEJE... thumbnail 1 summary
HAHAHAAHAHAHA KWANZA NINAWASHUKURU SANA TENA SANA WADAU WOOTE MLIO JARIBU KUJIBU SWALI LETU LA WIKI HII LISEMALO (IKIWA WATU KUMI(10) WAMEJENGA UKUTA KWA SIKU NANE JE, WATU WANNE WATAJENGA UKUTA HUO KWA SIKU NGAPI?)     ,,,,,,,,,,,, NAZIPELEKA SHUKRANI ZANGU KWENU WOOTE MLIOSHIRIKI ILA BAATI NZURI  TUNAWASHINDI WAWILI TU AMBAO NI SHARIFU AHMADI NA RICHARD S MGULLO  MIMI NA TIMU YANGU YA THANKXGOD.BLOGSPOT.COM IMEWAMEZAWADIA VOCHA YA SH 5000 KILA MMOJA NA JIBU LETU LA WIKI HII NI (HAWATA CHUKUA MDA WOWOTE KWA SABABU UKUTA HUO UMESHA JENGWA TAYARI NA NA HAO WATU KUMI(10)) AHSANTENI SANA WADAU WA THANKXGOD.BLOGSPOT.COM PAY ATTENTION KWA SWALI JINGINE SOON NA UJISHINDIE ZAWADI MBALIMBALI ILA KUMBUKA VIGEZO NA MASHARTI VITAZINGATIEA ....

Tuesday, May 21, 2013

SWALI LA LEO

                        ...........................................SWALI LA LEO ........................................ IKIWA WATU KUMI(... thumbnail 1 summary
                       ...........................................SWALI LA LEO ........................................


IKIWA WATU KUMI(10) WAMEJENGA UKUTA KWA SIKU NANE JE, WATU WANNE WATAJENGA UKUTA HUO KWA SIKU NGAPI?












JINSI YA KUSHIRIKI TUTUMIE JIBU LAKO  KWENYE EMAIL YETU (ZUBERIAMIRI@GMAIL.COM/ZUBERIAMIRI@HOTMAIL.COM) MSHIRIKI NI MTU YEYOTE NA ATAKAYE PATA JIBU ATATANGAZWA HAPA NA ATAZAWADIWA VOCHA YA SHILLING ELFU TANO (TSH 5000/=)(TIGO,VODA ,AIRTEL,NA ZANTEL) MSHINDI ATATANGAZWA BAADA YA SIKU TATU  NA MSHINDI AKIKOSEKANA TUTATOA JIBU HAPAHAPA
                                     (VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA)

ZAWADI ZAWADI ZAWADI !!!!!!!!!!!

Mpendwa msomaji kama mdau wa blog yetu blog hii hivi karibuni itaanza kutoa zawadi kwa wadau wa blog hii ( thankxgod.blogspot.com) kwa kutoa... thumbnail 1 summary
Mpendwa msomaji kama mdau wa blog yetu blog hii hivi karibuni itaanza kutoa zawadi kwa wadau wa blog hii ( thankxgod.blogspot.com) kwa kutoa maswali yenye kutia changanoto na ukipata utazawadiwa zawadi kutokana na itakavyoainishwa kwenye shindano hilo

Sasa ni wakati wa wewe kumkumbusha mwezio juu ya mashindano haya na haya mashinadano ni endelevu na zawadi zitakotolewa kwa washindi wetu ni kofia,T-shirt vocha 500-5000 mtandao wowote (airtel,voda,tigo,na zantel),pesa (TSH 3000-25000) NA nyingine kibao









VIGEZO NA MASHART VITAZINGATIWA

PROFESA JAY JIUNGA RASMI CHADEMA

Msanii maarufu wa bongo flava Joseph Haule aka Proffesor Jay, leo hii amejiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kukabidhiwa... thumbnail 1 summary
Click image for larger version. 

Name: Prof Jay Ajiunga Na Chadema.jpg 
Views: 0 
Size: 47.5 KB 
ID: 94612
Msanii maarufu wa bongo flava Joseph Haule aka Proffesor Jay, leo hii amejiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kukabidhiwa kadi yake ya uanachama mjini Dodoma.

Monday, May 20, 2013

RAIS JK ALIPOONGOZA MAZISHI YA MZEE SKYES LEO.

Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais Dk Mohamed Ghalib Bilal, Marais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, Waziri M... thumbnail 1 summary


Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais Dk Mohamed Ghalib Bilal, Marais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu Dk Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (aliyesimama kushoto), Mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru (aliyeketi kulia)  wakiungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Mzee Ally Kleist Sykes, mmoja wa waasisi wa chama cha TANU, leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo Mei 20, 2013
Rais Jakaya Kikwete akiongoza akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi hayo.  
Rais Jakaya Kikwete akiongoza mamia ya waombolezaji katika kuomba dua wakati wa mazishi ya mwasis huyo gwiji.
You might also like:

Sunday, May 19, 2013

RJ COMPANY YALETA VIFAA VIPYA VYA PRODUCTION

Katika kuhakikisha kwamba ubora wa filamu Nchini Tanzania unazidi kukua kampuni ya RJ Company imeshusha vifaa vingine vya ... thumbnail 1 summary



Katika kuhakikisha kwamba ubora wa filamu Nchini Tanzania unazidi kukua kampuni ya RJ Company imeshusha vifaa vingine vya kisasa ili kuzidi kuongeza ubora wa kazi katika kampuni yetu ya RJ Company kama kawaida slogan yake inavyosema BEST QUALITY EVER kwa hiyo wadau wa tasnia hii mtegemee mazuri toka katika kampuni yako bora ya RJ Company..

Hapa tukianza kuifunga Camera mpya ya kisasa..

Tukiwa makini katika swala zima la ufunguji wa Camera.

Kijana wangu Razack Ford akiwa makini katika kuifunga Camera hiyo...

Boom Mic ya kisasa kama mnavyoona wadau mambo yatakuwa sio mchezo..

Hapa mambo yakiwa yamekamilika wadau

Camera